Vipera vya semi
Mandhari
Vipera vya semi vimeundwa na vitu vifuatavyo:
- Methali (maneno yenye sehemu mbili, ambapo upande wa kwanza unauliza na upande wa pili unajibu. Kwa mfano: Mwenda pole - hajikwai.)
- Vitendawili
- Nahau
- Misemo
- Mafumbo
- Lakabu (jina la kupanga analojipa au analopewa mtu kutokana na sifa fulani alizonazo kimaumbile ama kiutendaji.)
- Mizungu
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vipera vya semi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Ni kauli zinazoonesha ukinzani wa fikra, ipande mmoja zinaonesha uhalali wa jambo fulani lakini kwa upande mwingine jambo hilo linaharamishwa.