Nenda kwa yaliyomo

Vinko Puljić

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Puljić na Papa John Paul II huko Sarajevo, 13 Aprili 1997

Vinko Puljić (alizaliwa 8 Septemba 1945) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Bosnia na Herzegovina ambaye amekuwa kardinali tangu mwaka 1994. Alikuwa Askofu Mkuu wa Sarayevo kuanzia mwaka 1991 hadi 2022.[1]

  1. "List of cardinal-electors for a papal conclave". Catholic News Service. 2013-02-12. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Februari 2013. Iliwekwa mnamo 2013-03-14.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.