Vinh Long

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Vĩnh Long

Vĩnh Long (thành phố Vĩnh Long) ni mji katika kusini ya Vietnam na makao makuu ya wilaya yenye jina hili. Idadi ya wakazi ni 147,039 ambao ni mchanganyiko wa Wavietnam, Wachina na Wakhmer. Mji uko ndani ya delta ya mto Mekong na usafiri mwingi ndani ya mji unafanywa kwenye njia za maji.

Kuna barabara no. 1 inayounganisha Vinh Long na Mji wa Ho Chi Minh.