Vincenzo Savio
Mandhari
Vincenzo Savio, S.D.B., (6 Aprili 1944 – 31 Machi 2004) alikuwa Msalesiani wa Italia aliyekuwa Askofu wa Belluno-Feltre.
Akitajwa kama mchungaji mwenye moyo wa ibada na maisha ya kiroho, kumekuwa na wito wa kuanzishwa mchakato wa kutangazwa mwenye heri. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mons. Vincenzo Savio". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 12 Mei 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |