Nenda kwa yaliyomo

Vincentius Sutikno Wisaksono

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vincent Sutikno Wisaksono (26 Septemba 195310 Agosti 2023) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Indonesia. Alihudumu kama Askofu wa Surabaya hadi kifo chake mnamo 2023. Alishika wadhifa huo kuanzia tarehe 29 Juni 2007, akichukua nafasi ya John Sudiarna Hadiwikarta aliyefariki tarehe 13 Desemba 2003, na hivyo kuacha nafasi wazi.[1]

Kaulimbiu yake kama askofu ilikuwa "Ego veni ut vitam habeant, et abundantius habeant." (Yohana 10:10), inayomaanisha "Nimekuja ili wapate uzima, tena wautele."[2]

  1. "Bishop Vincentius Sutikno Wisaksono". Catholic Hierarchy. Iliwekwa mnamo 10 Agosti 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Church officials reveals why Mgr. Vincentius died".
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.