Nenda kwa yaliyomo

Vincent Viola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vincent "Vinnie" Viola (Alizaliwa 1956) ni mfanyabiashara bilionea na mwanajeshi mstaafu nchini Marekani.[1]Yeye ni mmiliki wa timu ya Florida Panthers ya National Hockey League(NHL), mwanzilishi na Mwenyekiti Mstaafu wa Virtu Financial.[2]Pia ni mmiliki wa St. Elias Stables na mmiliki mwenza wa mshindi wa Kentucky Derby mwaka 2017. Kuanzia mwaka 2001 hadi 2004, alikuwa mwenyekiti wa New York Mercantile Exchange (NYMEX).[3] Kwa wiki chache mwaka 2016, alikuwa mteule wa Rais Donald Trump kuwa Waziri wa Jeshi la Marekani, kabla ya kujiondoa kwenye kuteuliwa.[4]

  1. Peterson-Withorn, Chase (Desemba 19, 2016). "Five Things To Know About Vincent Viola, Trump's Billionaire Pick For Army Secretary". Forbes. Iliwekwa mnamo Januari 3, 2017.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Nikolova, Maria (2025-07-30). "Douglas Cifu to retire as Virtu Financial CEO". FX News Group (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-01-27.
  3. "NYMEX Strategic Advisor Resigns". CME Group. Septemba 26, 2005. Iliwekwa mnamo Juni 22, 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Vincent Viola". Forbes (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-07-03.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vincent Viola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.