Vincent Nsengiyumva
Mandhari
Vincent Nsengiyumva (10 Februari 1936 – 7 Juni 1994) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Rwanda, aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kigali kutoka mwaka 1976 hadi kifo chake.
Alizaliwa Rwaza na akapadrishwa tarehe 18 Juni 1966.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Human Rights Watch. The Army, the Church and the Akazu
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |