Vincent Mensah
Mandhari
Vincent Mensah (19 Julai 1924 – 10 Machi 2010) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki wa Dayosisi ya Porto Novo, Benin.
Alipata kuwa padri tarehe 21 Desemba 1952, aliteuliwa kuwa askofu wa Dayosisi ya Porto Novo tarehe 21 Septemba 1970 na alipewa daraja hiyo tarehe 14 Desemba 1970. Alistaafu tarehe 29 Januari 2000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bishop Vincent Mensah". Catholic-Hierarchy.org. David M. Cheney. Iliwekwa mnamo 21 Januari 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |