Nenda kwa yaliyomo

Vince McMahon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vincent Kennedy McMahon (Alizaliwa Agosti 24, 1945) ni mfanyabiashara na mpiganaji wa zamani wa mieleka ya kulipwa nchini Marekani. McMahon ni mwanzilishi mwenza wa WWE ya kisasa, shirika kubwa zaidi la mieleka ya kulipwa duniani. Nje ya mieleka ya kulipwa, McMahon mara kwa mara alijihusisha na kuendeleza michezo mingine; miradi yake ilijumuisha World Bodybuilding Federation na XFL. Yeye ni mmiliki wa Alpha Entertainment[1][2] .

  1. Thurston, Brandon (Mei 30, 2025). "Vince McMahon's new company is called 14TH & I, focusing on sports, media, and entertainment". Wrestlenomics. Iliwekwa mnamo Mei 31, 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Mr. McMahon – WWE Bio". WWE. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Februari 22, 2019. Iliwekwa mnamo Desemba 18, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vince McMahon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.