Vikoza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Vikoza ni kitongoji katika kata ya Tchenzema, tarafa ya Mgeta, Wilaya ya Mvomero ya mkoa wa Morogoro.

Uchumi[hariri | hariri chanzo]

Watu wa Vikoza wamejikita zaidi katika kilimo. Mazao ambayo wakulima hao huyalima ni pamoja na mahindi, maharage, viazi vya aina zote, matunda na kadhalika.