Nenda kwa yaliyomo

Vihiga Queens FC

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vihiga Queens FC

Vihiga Queens Football Club ni klabu ya kitaalamu ya soka ya wanawake ya Kenya yenye makao yake maeneo ya Mbale, Kaunti ya Vihiga ambayo inashiriki Ligi Kuu ya Wanadada ya Kenya, daraja la juu la kandanda ya wanawake ya Kenya . [1] Klabu hii ina ushirika na Shirikisho la kandanda la Kenya . [2]

Mataji ya ligi

  • Ligi Kuu ya wanadada ya Kenya
Washindi (rekodi) (3): 2017, 2018, 2019
  • Mechi za kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa ya Wanadada CECAFA-CAF
Washindi (1): 2021

Historia ya usimamizi

[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Vihiga Queens sweating over Champions League budget". Kenya (kwa Kiingereza). 2021-09-29. Iliwekwa mnamo 2021-10-29.
  2. "Financial crisis puts Vihiga United, Queens on the brink". The Star (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-10-29.
  3. 1 2 Natiom, Lokeder (24 Septemba 2021). "Rising Starlets buoyant ahead of Uganda test". Nation Africa. Iliwekwa mnamo 10 Novemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Njoroge, Mike (24 Agosti 2021). "More Questions than Answers as Alex Alumirah Leaves Vihiga Queens By Mutual Consent". Tisini. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]