Vigo
Mandhari
Vigo ni mji wa Hispania, katika mkoa wa Pontevedra.
Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 295,364 [1] na kuufanya wa kumi na nne nchini kwa wingi wa watu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Vigo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |