Mchoroko
Mandhari
(Elekezwa kutoka Vigna radiata)
Mchoroko (Vigna mungo na V. radiata) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mchoroko-kijani unaobeba makaka
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mchoroko (Vigna mungo na V. radiata) ni jina la spishi mbili za mimea katika familia Fabaceae unaozaa choroko, mbegu zake ndogo kuliko aina zote za maharagwe zikuazo ndani ya makaka.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Mchoroko-kijani unaobeba maua na makaka mabichi
-
Kaka kavu likijifungua
-
Choroko kijani
-
Choroko mbili kwa karibu (miraba ina mm 5)
-
Choroko nyeusi
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mchoroko kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |