Nenda kwa yaliyomo

Vienna International Airport

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vienna International Airport, pia Uwanja wa ndege Vienna Schwechat (Kijerumani: Flughafen Wien-Schwechat ni uwanjani wa ndege wa kimataifa wa Vienna.

Ndege uwanani wa ndege wa Vienna Schwechat
Ndege wa Austrian Airlines uwanjani
Kuingia ya uwanja
Ndege wa Korean Air uwanani wa ndege wa Vienna Schwechat

Uwanja wa ndege Vienna Schwechat ni uwana wa ndege kubwa zaidi nxhini Austria, ipo mji mdogo wa Schwechat, jimbo la Austria Chini Karibu na Vienna.

Uwanja wa ndege wa Vienna Schwechat imefunguliwa mwaka 1938, lakini la kwanza imekuwa uwanja wa militari ya Austria tu, halafu, 1954 imefunguliwa kwenye huduma za abiria pia.

Kabla usafiri ya abiria imeanzia Uwajani wa ndege wa Schwechat, ilikuwa na uwanja wa ndege Vienna, imeitwa "Flugfeld Aspern" (Uwanja wa ndege Aspern), kata la 22 (Donaustadt) Karibu na Nelson-Mandela-Platz.

Uwanja wa ndege wa Vienna Schwechat ni basi ya Austrian Airlines. Leo Austrian Airlines wana basi moja tu Austria, basi la Jimbo (Cartina, Salzburg, Linz, Tyrol Innsbruck) na Graz zimefungwa, lakini bado hapo Kuna huduma za Austrian Airlines. Zipo Terminals tatu.

Treni za mkoani ya mstari S7 jukwaani ya kituo cha reli ya uwanja wa ndege wa Vienna/Schwechat

Kuna huduma za treni za mkoani wa Vienna, mstari S7, pia City Airport Train (CAT) zinasafiriwa kutoka kituo cha Landstrasse (Vienna City Center) mpaka Uwajani, pia kuna kituo cha mabasi la (Vienna Airport Lines (VAL).

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]