Nenda kwa yaliyomo

Victoria Donda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Victoria Analía Donda Pérez (alizaliwa 1977) ni mwanaharakati wa haki za binadamu na mbunge kutoka Argentina. Yeye ni binti wa kwanza wa mtu aliye “potea” (disappeared) ambaye alizaliwa akiwa kizuizini na kuwa mwanachama wa Bunge la Taifa la Argentina. Pia alikuwa mwanamke mdogo zaidi kushikilia wadhifa huo.[1]

Kutoka 2019 hadi 2022, alihudumu kama mtendaji mkuu wa Taasisi ya Kitaifa ya Kupinga Ubaguzi, Ubaguzi wa Kigeni na Ubaguzi wa Rangi (INADI), mojawapo ya mashirika muhimu ya serikali ya Argentina yanayohusiana na haki za binadamu.[2]

  1. ↑ "Greta Marisa Pena es la nueva interventora del INADI en reemplazo de Victoria Donda". elDiario.ar (kwa Kihispania). 10 Januari 2023. Iliwekwa mnamo 15 Januari 2023.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ Reato, Ceferino (2015). Doce noches [Twelve nights] (kwa Spanish). Argentina: Sudamericana. uk. 19. ISBN 978-950-07-5203-9.{{cite book}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Victoria Donda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.