Nenda kwa yaliyomo

Victoria (Shelisheli)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Victoria, Seychelles)
Jiji la Victoria
Nchi Shelisheli
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 22,881
Mji wa Victoria
Mbele: mfano mdogo wa mnara wa "Big Ben" wa London katika mji wa Victoria; nyuma jengo la wizara ya sheria

Victoria ni mji mkuu na mji mkubwa wa Shelisheli. Uko kwenye kisiwa cha Mahe ikiwa na wakazi 22,881 (2005).

Bandari ya Victoria ni kitovu cha biashara ya kimataifa cha nchi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Victoria (Shelisheli) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.