Nenda kwa yaliyomo

Victor Menezes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
'Victor Joseph Menezes

Victor Joseph Menezes (14 Mei 19473 Februari 2025) alikuwa benker wa Kihindi-Mmarekani.

Alianza kazi yake mwaka 1972 kwa kujiunga na kampuni ya huduma za kifedha ya Marekani, Citicorp (sasa Citigroup), katika sekta ya benki za makampuni. Aliendelea kuhudumu kama Makamu Mwenyekiti Mwandamizi wa Citigroup, akifanya kazi katika kampuni hiyo kwa miaka 32 hadi alipostaafu. [1][2][3][4]

  1. "Veteran Indian American banker and AIF co-founder Victor Menezes passes away at 77 – indica News" (kwa American English). 4 Februari 2025. Iliwekwa mnamo 5 Februari 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "IIT-Bombay gets $3 million gift". Hindustan Times. 5 Januari 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 Januari 2011. Iliwekwa mnamo 21 Januari 2011.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Vaz, J. Clement (1997). Profiles of Eminent Goans, Past and Present (kwa Kiingereza). Concept Publishing Company. ISBN 978-81-7022-619-2.
  4. "Indian to head world's top liquor co". Times of India. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Aprili 2014. Iliwekwa mnamo 6 Februari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Victor Menezes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.