Nenda kwa yaliyomo

Victor Adibe Chikwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Victor Adibe Chikwe (24 Juni 193816 Septemba 2010) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Nigeria na askofu wa kwanza wa Jimbo Katoliki la Ahiara. Aliteuliwa kuwa askofu wa jimbo hilo tarehe 18 Novemba 1987 na kupewa daraja ya uaskofu rasmi tarehe 6 Januari 1988.

Aliongoza jimbo hilo hadi kifo chake tarehe 16 Septemba 2010.[1]

  1. "Bishop Victor Adibe Chikwe†". Catholic Hierarchy. Iliwekwa mnamo Septemba 22, 2010.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.