Vicky Longomba
Mandhari

Victor Longomba Besange Lokuli, anayejulikana kwa jina la Vicky Longomba. (13 Desemba 1932 – 12 Machi 1988 huko Kinshasa[1] ) alikuwa mwimbaji na mwanachama mwanzilishi wa Tout puissant OK Jazz, kikundi cha rumba cha Kongo.
Baadaye alianzisha kundi lake la Lovy du Zaire.
Alikuwa babake Lovy Longomba (mwanachama wa Super Mazembe) na Awilo Longomba, wote wanamuziki maarufu.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Congolite/music". web.archive.org. 2013-11-07. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-11-07. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.