Vicente Faustino Zazpe
Mandhari
Vicente Faustino Zazpe Zarategi (15 Februari 1920 – 24 Januari 1984) alikuwa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki nchini Argentina.
Zazpe (pia huandikwa kama Zaspe) alizaliwa katika mji wa Santa Fe kwa wazazi wahamiaji kutoka Navarre, Hispania. Alisomea Udaktari katika Chuo cha Tiba cha Buenos Aires na akapadrishwa tarehe 28 Novemba 1948. Baada ya Papa Yohane XXIII kumteua kuwa Askofu wa Rafaela tarehe 12 Juni 1961, alishiriki katika Mtaguso wa pili wa Vatikani. Aliendelea kuwa Askofu Mkuu wa Santa Fe tarehe 13 Agosti 1969.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |