Vermont Royster

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vermont Connecticut Royster (30 Aprili 191422 Julai 1996) alikuwa mwandishi wa habari kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1953 na tena 1984, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa miandiko yake katika gazeti la Wall Street Journal.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vermont Royster kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.