Venediktos Printesis
Mandhari
Venediktos Printesis (10 Februari 1917 – 21 Oktoba 2008) alikuwa Askofu wa Ugiriki wa Kanisa Katoliki.[1]
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Venediktos Printesis alizaliwa Manna, Syros mnamo Februari 1917 akapadrishwa tarehe 23 Machi 1940. Alifanya kazi kama kasisi wa parokia hadi alipoteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Athens mnamo 15 Mei 1959. Alipokea daraja ya uaskofu tarehe 21 Juni 1959. Venediktos alijiuzulu kama Askofu Mkuu tarehe 17 Novemba 1972.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Holy See News Briefs". Arkansas Catholic. 5 Juni 1959. uk. 7. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-12. Iliwekwa mnamo 7 Mei 2017.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |