Nenda kwa yaliyomo

Vazhoor Soman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vazhoor Soman (14 Septemba 195221 Agosti 2025) alikuwa mwanasiasa wa Uhindi kutoka Kerala na mwanachama wa Chama cha Kikomunisti cha India. Alikuwa mbunge wa Bunge la Jimbo la Kerala akiwakilisha eneo la Peerumade. [1][2]

Maisha binafsi na kifo

[hariri | hariri chanzo]

Vazhoor Soman alizaliwa tarehe 14 Septemba 1952 wazazi wake walikua Kunjupappan na Parvathy katika kijiji cha Vazhoor, Kottayam. Ameacha mke na watoto wake Adv Sobin Soman na Adv Sobith Soman.

Soman alipata kiharusi kikali tarehe 21 Agosti 2025, muda mfupi baada ya kutoka kwenye mkutano wa ngazi ya wilaya wa Idara ya Mapato katika PTP Nagar, Thiruvananthapuram. Mara moja alipelekwa Hospitali ya Sri Ramakrishna Ashrama huko Sasthamangalam, ambapo alitangazwa kufariki dunia. Soman alikuwa na umri wa miaka 72.

  1. "Peerumade, Kerala Assembly election result 2021 live updates". India Today.
  2. "CPI announces initial list of candidates". The Hindu. Machi 9, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vazhoor Soman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.