Valery Komissarov
Mandhari
Valery Yakovlevich Komissarov ( alizaliwa 12 Aprili 1965) ni mtangazaji, mtayarishaji, mwongozaji, na mwandishi wa skripti wa vipindi vingi vya televisheni. Gazeti la Financial Times lilimwita “baba wa vipindi vya uhalisia vya Urusi" (father of Russian reality show).[1] Ni mwanachama wa zamani wa chama cha Urusi ya Pamoja (United Russia), na mbunge wa zamani wa Duma ya Serikali (1999–2011).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mother of all TV shows". Financial Times. 2011-12-16. Iliwekwa mnamo 2022-04-18.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Valery Komissarov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |