Nenda kwa yaliyomo

Valery Flyustikov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Valery Ivanovich Flyustikov ni Meja Jenerali wa jeshi la Urusi. Tangu mwaka 2018, amehudumu kama kamanda wa Kikosi cha Operesheni Maalum cha Urusi, akichukua nafasi ya Aleksandr Matovnikov.[1]

  1. Tidman, Zoe (2022-04-21). "UK announces fresh wave of sanctions against Russian military leaders". The Independent (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-04-21.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Valery Flyustikov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.