Nenda kwa yaliyomo

Valentino Acuña

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Valentino Andrés Acuña (aliyezaliwa tarehe 27 Januari 2006) ni mchezaji wa soka wa Argentina anayekichezea nafasi ya kiungo katikati katika klabu ya Newell's Old Boys.[1]

  1. "Quién es Valentino Acuña, el "doble" de Lionel Messi que la rompe en la Selección Argentina sub17" [Who is Valentino Acuña, the “double” of Lionel Messi who breaks it in the Argentine U17 National Team]. radiomitre.cienradios.com (kwa Kihispania). 13 Aprili 2023. Iliwekwa mnamo 18 Novemba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Valentino Acuña kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.