Nenda kwa yaliyomo

Valentin Kipyatkov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Valentin Kipyatkov (alizaliwa 5 Juni 1976) ni bilionea wa Urusi ambae alipata utajiri wake kupitia kampuni ya programu ya JetBrains, aliyoianzisha pamoja na Sergey Dmitriev.[1][2]

  1. "Valentin Kipyatkov". Forbes (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-04-13.
  2. "People". JetBrains (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-04-13.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Valentin Kipyatkov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.