Nenda kwa yaliyomo

Vacation

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vacation ni filamu ya kiTanzania inayooneshwa kwenye Azam TV. Filamu hii inaanza wakati wa likizo za shule, kikundi cha wanafunzi matajiri hujiandikisha katika kambi ya mafunzo ya kujenga tabia amabapo walitarajia kustarehe, badala yake wanakabiliwa na sheria kali, masomo magumu ya maisha, na kuangalia hali halisi.[1]

Washiriki

[hariri | hariri chanzo]
  • Jacob Stephene
  • Vannesa Kashera
  • Mariam Ismail
  • Mariam Ferej
  1. "Vacation | azam". web.azamtvmax.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-08-30.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vacation kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.