UKIMWI nchini Armenia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka VVU/UKIMWI nchini Armenia)

Mwaka 2010, nchini Armenia maambukizi ya VVU yalikadiriwa kuwa asilimia 0.2 ya watu wazima wenye umri kati ya miaka 15 hadi 49 [1]. kufikia tarehe 31 Julai 2019, kesi 3, 583 za VVU zilikuwa zimesajiliwa nchini Armenia na kesi mpya 429 za maambukizo ya VVU zilizosajiliwa mnamo mwaka 2018.

Asilimia 69 ya wanaume huchangia sehemu kubwa katika idadi ya visa vya VVU. Kati ya watu wote wanaoishi na VVU, zaidi ya nusu (51%) walikuwa katika kundi la miaka 25-39 wakati wa utambuzi wa VVU. Njia kuu za maambukizi ya VVU ni kupitia mahusiano ya jinsia moja (72%) na watumiaji wa dawa za kulevya (20%), ikifuatiwa na ngono baina ya wanaume kwa wanaume, hii husababisha kwa asilimia 4.4 ya kesi zote zilizosajiliwa.[2]

Armenia ilikuwa nchi ya kwanza [3] katika bala la Ulaya, na mnamo Oktoba 2017 ilikua ni moja wapo ya nchi 10 ulimwenguni ambazo zilithibitisha kumaliza maambukizi ya VVU kwa mtoto.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. You must specify title = and url = when using {{cite web}}.. apps.who.int. Iliwekwa mnamo 2021-08-12.
  2. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-02-06. Iliwekwa mnamo 2021-08-12.
  3. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-11-15. Iliwekwa mnamo 2021-08-12.
  4. https://www.researchgate.net/publication/321420493