Nenda kwa yaliyomo

Uzushi wa kidini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Injili ikishinda uzushi na nyoka: sanamu katika Kanisa la Gustaf Vasa, Stockholm, Uswidi, kazi ya Burchard Precht.
Sanamu huko Vienna ikionyesha Ignas wa Loyola akikanyaga mzushi.

Uzushi wa kidini (kwa Kiingereza: heresy, kutoka neno la Kigiriki: αἵρεσις, yaani "chaguo" [1] ) ni fundisho lolote lililo tofauti la yale yanayotolewa rasmi katika dini fulani, kama vile Uyahudi, Ukristo na Uislamu[2] .

Kwa kawaida ndiyo chanzo cha madhehebu mapya.

Uzushi huo unatazamwa kama kosa linaloweza kuadhibiwa kwa wahusika kutengwa hata kuuawa[3].

Hata hivyo, ni tofauti na uasi ambao unakataa kabisa dini yenyewe[4].

  1. Cross, F. L., and E. A. Livingstone, eds. 1974. "Heresy." The Oxford Dictionary of the Christian Church (2nd ed.). Oxford: Oxford University Press.
  2. "heresy – definition of heresy in English from the Oxford dictionary". oxforddictionaries.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Julai 20, 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Sandle, Mark. 2007. "Soviet and Eastern bloc Marxism." pp. 59–77 in Twentieth-Century Marxism, edited by D. Glaser and D. M. Walker. London: Routledge. ISBN 978-1-13597974-4. p. 62.
  4. "Apostasy | Learn everything there is to know about Apostasy at". Reference.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-17. Iliwekwa mnamo 2013-04-15.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.