Uwe Boll
Uwe Boll | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Uwe Boll |
Alizaliwa | 22 Juni 1965 Ujerumani |
Kazi yake | Mwongozaji Mtayarishaji |
Uwe Boll (amezaliwa tar. 22 Juni 1965 mjini Wermelskirchen/Remscheid) ni mwongozaji, mtayarishaji na mwandishi wa script za filamu wa Kijerumani. Filamu zake zilizonyingi huwa zinatoka na mwenendo wa video gemu, yaani anatoa kutokana na mwenendo wa video gemu vile ilivyo na kuitengenezea filamu. Huenda akawa anafahamika kwa kuiongoza filamu ya Bloodrayne na House of the Dead na German Fried Movie.
Huyu yupo tofauti sana na waongozaji wengi filamu wa Kimarekani, ambao wanapokea fedha kutoka katika mradi wa filamu wa Hollywood, yeye kama yeye anamiliki mradi wake binafsi uitwao Boll KG production company ambao unaongoza na kutayarisha filamu. Boll alipata elimu yake ya Chuo katika Chuo Kikuu cha Köln na baadaye katika Siegen (chuo kikuu pia), na akachukua digrii yake udaktari katika fasihi.
Filamu
[hariri | hariri chanzo]Filamu za kawaida
[hariri | hariri chanzo]- German Fried Movie
- Amoklauf
- Barschel
- Mord in Genf?
- Erste Semester, Das
- Sanctimony
- Blackwoods
- Heart of America
- Seed
Filamu zinazotokana na video gemu
[hariri | hariri chanzo]- House of the Dead
- Alone in the Dark
- BloodRayne
- BloodRayne II
- In the Name of the King
- Postal
- Far Cry
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- http://www.bloody-disgusting.com/feature/408
- http://boxofficemojo.com/movies/?id=houseofthedead.htm
- http://boxofficemojo.com/movies/?id=aloneinthedark.htm
- http://boxofficemojo.com/movies/?id=bloodrayne.htm
- http://www.cinemablend.com/features/Uwe-Boll-Money-For-Nothing-209.html Archived 26 Juni 2006 at the Wayback Machine.
- http://www.metacritic.com/film/titles/aloneinthedark?q=alone%20in%20the%20dark Archived 18 Desemba 2007 at the Wayback Machine.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Official Website of Boll's Production Company, BOLL KG
- Uwe Boll at the Internet Movie Database
- Uwe Boll Archived 23 Juni 2007 at the Wayback Machine. at Rotten Tomatoes
- A3UPodcast.com Interview Archived 18 Desemba 2007 at the Wayback Machine. Podcast Interview With Boll
- Golden Palace Events - Photos, video, and details of Uwe's Septemba 2006 boxing match with his critics
- Boll Bashers Archived 8 Machi 2008 at the Wayback Machine. A comprehensive website on Boll
- Interview with Uwe Boll Archived 12 Oktoba 2007 at the Wayback Machine. at Creature Corner Archived 9 Mei 2008 at the Wayback Machine.
- Dinner With Uwe Archived 4 Septemba 2006 at the Wayback Machine. - IGN's four-part video interview
- Interview with Uwe Bollat The Globe & MailArchived 30 Septemba 2007 at the Wayback Machine.
- Boll to brawl critics onscreen in Postal movie? Archived 10 Aprili 2008 at the Wayback Machine. at GameSpot News
- Interview - Now Playing magazine
- Uwe on UGO.com Archived 24 Machi 2008 at the Wayback Machine. - Uwe Boll wants to make a sequel to Schindler's List
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uwe Boll kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |