Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere

Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
English: Julius Nyerere International Airport
IATA: DARICAO: HTDA
WMO: 63894
Muhtasari
Aina Matumizi ya Umma
Mmiliki Serikali ya Tanzania
Opareta Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania
Mahali Dar es Salaam, Tanzania
Kitovu cha
Mwinuko 
Juu ya UB
182 ft / 55 m
Anwani ya kijiografia 06°52′41″S 39°12′10″E / 6.87806°S 39.20278°E / -6.87806; 39.20278
Tovuti jnia.aero
Ramani
DAR is located in Tanzania
DAR
DAR
Mahali pa uwanja nchini Tanzania
Njia ya kutua na kuruka ndege
Mwelekeo Urefu Aina ya
barabara
m ft
05/23 3,000 9 843 Lami
14/32 1,000 3 281 Lami
Takwimu (2017)
Idadi ya abiria 2,385,456
Harakati za ndege 75,240
Tani za mizigo decrease 22,014
Julius Nyerere International Airport Terminal III wakati wa usiku - Novemba 2019.
Mahali panapofikiwa kutoka Dar es Salaam.

Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (IATA: DAR, ICAO: HTDA) mjini Dar es Salaam ni kiwanja cha ndege kikubwa na muhimu zaidi nchini Tanzania. Kipo kilomita 12 kutoka kitovu cha jiji upande wa kusini magharibi.

Jina lake limetolewa kwa heshima ya baba wa taifa, Julius Kambarage Nyerere, rais wa kwanza wa nchi.

Abiria 2,385,456 walipita humo mwaka 2017.

Kuna barabara kubwa kwa ndege yenye urefu wa mita 3,000 na nyingine ya mita 1,000.

Tarehe 1 Agosti 2019 ilifunguliwa terminal ya 3 kwa ajili ya safari za kimataifa[1].

Makampuni ya ndegeVifiko 
AB AviationMoroni
Air MauritiusMauritius
Air TanzaniaBujumbura,[2] Bukoba, Dodoma, Entebbe,[3] Harare,[4] Iringa,[5] Kigoma, Kilimanjaro, Lusaka,[4][6] Mbeya, Moroni, Mpanda, Mtwara, Mumbai,[7] Mwanza, Tabora, Zanzibar
Air ZimbabweHarare[8]
As Salaam AirZanzibar
Auric AirDodoma, Iringa, Mafia, Morogoro, Pemba, Tanga, Zanzibar
Coastal AviationArusha, Kilwa, Mafia, Manyara, Moshi, Pemba, Saadani, Selous, Seronera, Songo Songo, Tanga, Zanzibar
EgyptAirCairo
EmiratesDubai–International
Ethiopian AirlinesAddis Ababa
Ewa AirDzaoudzi
Fly540Mombasa, Nairobi–Jomo Kenyatta
FlydubaiDubai–International
Int'Air ÎlesMoroni
Kenya AirwaysNairobi–Jomo Kenyatta
KLMAmsterdam1
LAM Mozambique AirlinesMaputo, Nairobi–Jomo Kenyatta, Pemba (Msumbiji)
Malawian AirlinesBlantyre, Lilongwe
Oman AirMuscat, Zanzibar[9]
Precision Air[10]Arusha, Bukoba, Entebbe, Kigoma, Kilimanjaro, Moroni, Mtwara, Musoma, Mwanza, Nairobi–Jomo Kenyatta, Seronera, Zanzibar
Qatar AirwaysDoha
RwandAirKigali
South African AirwaysJohannesburg–O. R. Tambo
Swiss International Air LinesZürich2
Tropical AirArusha, Mafia, Zanzibar
Turkish AirlinesIstanbul[11]
Uganda AirlinesEntebbe
ZanAirArusha, Pemba, Saadani, Selous, Zanzibar
  1. "Dar Es Salaam Airport Inaugurate New Terminal 3". TanzaniaInvest (kwa American English). 2019-08-06. Iliwekwa mnamo 2020-01-06.
  2. https://www.routesonline.com/news/38/airlineroute/279639/air-tanzania-resumes-entebbe-bujumbura-service-from-late-august-2018/
  3. https://www.routesonline.com/news/38/airlineroute/279639/air-tanzania-resumes-entebbe-bujumbura-service-from-late-august-2018/
  4. 1 2 "Air Tanzania resumes Harare / Lusaka service from late-Feb 2019". Routesonline. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Januari 2019. Iliwekwa mnamo 2019-01-11.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Liu, Jim. "Air Tanzania expands domestic network offering from April 2019". Routesonline. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Aprili 2019. Iliwekwa mnamo 16 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-08-07. Iliwekwa mnamo 2020-06-11.
  7. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Julai 2019. Iliwekwa mnamo 29 Aprili 2019.{{cite web}}: CS1 maint: archived copy as title (link) CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. "Air Zimbabwe (UM) #438 ✈ FlightAware". Flightaware.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Aprili 2018. Iliwekwa mnamo 2018-07-01.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. 2017, UBM (UK) Ltd. "Oman Air S17 changes as of 09MAR17; Singapore suspensions". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Septemba 2017. Iliwekwa mnamo 30 Mei 2017. {{cite web}}: |last= has numeric name (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. "PrecisionAir - Home". Precisionairtz.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Aprili 2018. Iliwekwa mnamo 2018-07-01.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. "Istanbul New Airport Transition Delayed Until April 5, 2019 (At The Earliest)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Februari 2019. Iliwekwa mnamo 27 Februari 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: