Nenda kwa yaliyomo

Uwanja wa mji Ganja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa mji Ganja ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Azerbaijan. Ulizinduliwa mnamo mwaka 1963 kwenye mji wa Ganja nchini Azerbaijan. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Kəpəz na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 27,000.[1]

  1. "EFS Attendances". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-19. Iliwekwa mnamo 2025-02-05.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa mji Ganja kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.