Uwanja wa michezo wa Volcans

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Volcans ni uwanja wenye matumizi anuwai huko Goma, nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.Hivi sasa unatumiwa zaidi kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu unatumika kama uwanja wa nyumbani kwa AS Kabasha na AS Dauphins Noirs. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua watu 5,000.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Volcans kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.