Uwanja wa michezo wa manispaa wa Kpalimé

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa manispaa wa Kpalimé ni uwanja wa michezo huko Kpalimé nchini Togo, ukitumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu, na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Gomido. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua mashabiki 10,000.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa manispaa wa Kpalimé kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.