Uwanja wa michezo wa manispaa Thika
Mandhari
Uwanja wa michezo wa manispaa Thika ni uwanja wa michezo mbalimbali ulioko huko Thika,nchini Kenya. Unatumika hasa na chama cha mpira wa miguu nchini humo kwa mechi mbalimbali na pia ni uwanja wa nyumbani wa Thika United. Uwanja huo unachukua idadi ya watu 5,000.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa manispaa Thika kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |