Uwanja wa jiji la Jalingo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Jolly Nyame ni uwanja unaotumika kuanda michezo mbalimbali, unapatikana katika jimbo la Jalingo, nchini Nigeria. Hivi sasa unatumiwa zaidi kwa mchezo wa Mpira wa miguu na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Taraba F.C.[1]. Uwanja huo una uwezo wa kustahimili takribani watu 12,000 na ulijengwa mnamo mwaka 2002.

Viunga vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa jiji la Jalingo kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.