Uwanja wa michezo wa Stade Léopold Sédar Senghor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Léopold Sédar Senghor ambao zamani ulijulikana kama Stade de l'Amitie, ulikua ni uwanja unaotumika kwa michezo mbalimbali na unapatikana huko Dakar, Senegal. Hivi sasa inatumiwa zaidi na Chama cha mpira wa miguu.ASC Jeanne d'Arc inautumia uwanja huo kama wa nyumbani pia timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Senegal inautumia uwanja huo. Mara nyingine utumika na wanariadha na wacheza rugby. Uwanja huo unaingiza watu 80,000. ulijengwa mnamo 1985 na ukapewa jina la Léopold Sédar Senghor, rais wa kwanza wa Senegal kutoka 1960 hadi 1980. Uwanja huu una rekodi ya kuingiza watu 75,000 mwaka 1992, wakati ya mechi za Taifa kati ya Senegal and Nigeria.[1] Uwanja huu uliandaa fainali ya kombe la mataifa Afrika mwaka 1992 na mashindano ya riadha ya Afrika mwaka 1998. 13 Octoba 2012, mashindano ya kufudhu fainali za mataifa Afrika kwa mechi kati ya Ivory Coast na Senegal.[2]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Stade Léopold Sédar Senghor kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. https://www.11v11.com/teams/senegal/tab/stats/option/attendances/
  2. "Fan riot halts Senegal-Ivory Coast football match", BBC News, BBC, 13 October 2012.