Uwanja wa michezo Demba Diop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Michezo Demba diop


Uwanja wa michezo wa Demba Diop ni uwanja wenye shughuli mbalimbali za michezo unaotumiwa zaidi huko Dakar nchini Senegal. Uko Boulevard Président Habib Bourguiba huko Sicap-Liberté, mjini Dakar. Vilabu kadhaa vya mpira wa miguu hutumia uwanja huu kwa michezo yao ya nyumbani.

Viungo Vya Nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo Demba Diop kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.