Uwanja wa michezo wa St. Mary
Mandhari
Uwanja wa michezo wa St Mary ni uwanja unaotumika na klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Southampton FC; umekuwa uwanja wa nyumbani wa klabu hiyo tangu mwaka 2001. Uwanja huo una uwezo wa kubeba watu 32,384 [1] na kwa sasa ni uwanja mkubwa zaidi wa mpira nje ya London huko Uingereza Kusini.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Mnamo mwaka 1984 walipokuwa washindi wa pili wa ligi, kulikuwa na mazungumzo juu ya klabu kuhamia uwanja mpya kuchukua nafasi The Dell (Southampton) kwa sababu ya uwanja huo kuwa mdogo.
Sanamu ya Ted Bates
[hariri | hariri chanzo]Mnamo tarehe 17 Machi mwaka 2007, sanamu ya Pauni 102,000 ya kukumbuka stalwart wa kilabu ya Ted Bates (mwanasoka) ilifunuliwa, nje ya mbele ya Standi ya Itchen. Sanamu hiyo ililaaniwa sana na wafuasi kwa sababu haikuwa sawa, na sio mfano sahihi wa Rais wa zamani wa kilabu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- https://web.archive.org/web/20060617193530/http://dspace.dial.pipex.com/town/park/yfh45/south.htm Review St Mary's] at the Football Ground Guide
- http://www.saintsforever.com/stmarys.html Archived 23 Agosti 2017 at the Wayback Machine. Saints Forever's guide to St Mary's
- http://www.saintsforever.com/map.html Archived 9 Machi 2021 at the Wayback Machine. Saints Forever's Pub Guide
- https://web.archive.org/web/20061231001249/http://upthesaints.com/stadiumIndex.asp Up The Saints]' guide to St Mary's
- https://maps.google.com/maps?f=q&hl=en&q=Britannia+Road,+Southampton&ie=UTF8&ll=50.905631,-1.390543&spn=0.003173,0.009377&t=k&om=1 Satellite image of St Mary's Stadium from Google Maps
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Premier League stadiums 2019/20: Complete guide to every ground". Radio Times (kwa Kiingereza).
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa St. Mary kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |