Uwanja wa michezo wa Sauer Park

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Sauer Park unatumika kwa shughuli mbalimbali, uwanja huu upo Afrika Kusini. Unatumika zaidi kwa ajili ya michezo ya soka na ulitumika kama uwanja wa nyumbani wa klabu ya Young Stars walipokuwa wakishiriki wa ligi kuu ya Vodacom. Ukarabati wa hivi karibuni kwenye uwanja huo ni pamoja na kuongezewa na kuondolewa viti vya zamani. Uwanja huo pia hutumika kwa ajili ya hafla kadhaa kama Sherehe za Vijana za Sondela.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Sauer Park kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.