Uwanja wa michezo wa Pillars
Mandhari
Uwanja wa michezo wa Pillars ni uwanja wenye matumizi tofautitofauti ulio katika eneo la Sabon Gari Kano, Jimbo la Kano, nchini Nigeria, kwenye makutano ya barabara ya Abuja na barabara ya Uwanja wa Ndege. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 10,000.
Mnamo mwaka 2014 ulikuwa uwanja wa muda wa timu ya El-Kanemi Warriors baada ya ule wa nyumbani kwao huko Maiduguri kuonekana kutokuwa salama kwa mechi. Hivi sasa unatumiwa zaidi kwa mpira wa miguu (soka/kandanda) na mechi, pia ni mojawapo ya viwanja viwili vinavyotumiwa na Kano Pillars FC, kingine kikiwa Uwanja wa Sani Abacha.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "CAF Inspects Pillars Sabongari Stadium". 2014-11-28. Iliwekwa mnamo 2015-03-13.
| Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Pillars kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |