Uwanja wa michezo wa Mwisho kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Mwisho Kaskazini ni uwanja wa michezo unaotumika kwa matumizi mbalimbali huko Mashariki ya London, Africa Kusini. Mara nyingi umetumika kwa michezo ya mechi za mpira wa miguu (Mpira wa Soka) na ndio uwanja wa nyumbani wa timu ya mrira wa miguu ya (Bush Bucks) paoja na jiji la Birmingham huko Africa Kusini.

Mnamo Machi 2019, mmiliki wa timu ya mpira wa miguu ya Tornados F.C. anayejulikana kama Siphiwo "Mawawa" Nyobo aliuwawa kwa kupigwa risasi nje ya uwanja.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Rejea

  1. "Local soccer boss gunned down outside stadium". Sport (kwa Kiingereza). 3 March 2019. Iliwekwa mnamo 10 May 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)