Uwanja wa michezo wa manispaa ya Djourbel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa manispaa ya Djourbel (kwa Kifaransa: Stade Municipal de Djourbel; unajulikana pia kama Stade Ely Manel Fall) unatumika kwa mambo mbalimbali na unapatikana Diourbel nchini Senegal. Unatumika zaidi kuchezesha mpira wa miguu (soka) na timu nyingine kama ASC SUNEOR[1] zinautumia kama uwanja wa nyumbani. Unaingiza watu 5,000.

Moja ya mechi mbili za mashindano zilichezewa uwanja huu, tatu za kwanza zilikuwa Kombe la Klabu bingwa Afrika na ya mwisho ilikuwa ni Ligi ya Mabingwa ya mwaka 1981, Kombe la Mabingwa Afrika wa vilabu mwaka 1984 na Kombe la Afrika la vilabu mwaka 1988 na 1997 kombe la CAF.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa manispaa ya Djourbel kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.