Uwanja wa michezo wa manispaa ya Avrankou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa manispaa ya Avrankou ni uwanja wenye matumizi mengi unayopatikana huko Avrankou, nchiniBenin. Kwa sasa unatumika mara nyingi kwa michezo ya soka na ndio uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Avrankou Omnisport FC. Uwanja huu una uwezo wa kubeba washabiki 5,000.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Stadiums in Benin". worldstadiums.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-08. Iliwekwa mnamo 2010-09-27.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa manispaa ya Avrankou kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.