Uwanja wa michezo wa manispaa ya Ait Melloul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa manispaa ya Ait Melloul ni uwanja wa michezo wa mpira wa miguu unaopatikana katika jiji la Ait Melloul nchini Moroko. Ni uwanja mkuu wa umoja wa Ait Melloul na una uwezo wa kubeba washabiki 5,000. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa manispaa ya Ait Melloul kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.