Uwanja wa michezo wa Kégué

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Kégué ni uwanja wa michezo katika jiji Lomé uliopo nchini Togo, unaotumika kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu Uliofunguliwa mwaka 2000 ukiwa na uwezo wa kuchukua watu 40,000.[1] Uwanja huu ulibuniwa mchoro wake na mchora majengo wa China Yang Zho,mwaka 2007 mwezi Machi uwanja huu ulitumika kwa ajili ya mashindano ya Afrika kwa vijana wa umri wa chini ya mika kumi na saba.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Togo : Les réalisations chinoises répondent à de vrais besoins. french.peopledaily.com.cn (27 January 2012). Iliwekwa mnamo 5 December 2012.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Kégué kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.