Uwanja wa michezo wa Hage Geingob

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa nje wa uwanja wa Huge Gingob
Hage Geingob

Uwanja wa michezo wa Hage Geingob Rugby ni uwanja wa michezo ambao hapo awali ulijulikana kama Uwanja wa Kusini Magharibi. [1]

Ni uwanja wa rugby (raga) ulioko huko Windhoek, nchini Namibia. Umepewa jina la rais wa nchi hiyo, Hage Geingob.[2] Uwanja unaingiza watu 10,000.[3]

Uwanja unatumiwa sana na timu ya Taifa ya umoja wa rugby ya Namibia ambayo inashiriki Kombe la Afrika, na Welwitschias ambao hushiriki katika Shindano la Rugby Afrika Kusini.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Hage Geingob kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.