Uwanja wa michezo wa El Marg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa El Marg ni uwanja wa michezo unaotumika katika matumizi mbalimbali. Mara nyingi uwanja huu umekuwa ukitumika kwa mechi za mpira wa miguu lakini muda mwingine umekuwa ukitumika kwa michezo ya mpira wa kikapu, mpira wa wavu na mchezo wa Futsal. Timu ya mpira wa miguu ya El Marg SC zamani walicheza michezo yao ya nyumbani katika uwanja huu wa El Marg Stadium.[1] Pia mara nyingine hutumika kwa michezo mingine kama Karate,Kung fu, Taekwondo, Kunyanyua vitu vizito pamoja na mchezo wa tenisi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa El Marg kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. ""Clubs in El Marg District"". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-01-18. Iliwekwa mnamo 2021-06-08.