Uwanja wa michezo wa Bellville

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa Bellville ni uwanja wa michezo wenye matumizi mengi huko Bellville, rasi ya magharibi, nchini Afrika Kusini. Kwa sasa unatumika kwa michezo ya soka na ndiyo uwanja wa nyumbani kwa klabu ya Vasco da Gama.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Bellville kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.